Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Familia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu...
3 Reactions
19 Replies
250 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook...
7 Reactions
54 Replies
2K Views
Habari,Natumaini mko salama na poleni na majukumu ya kila siku.Karibu ujipatie miche ya kisasa ya matunda. Tunapatikana Chuo kikuu cha kilimo (SUA) lakini tunatuma na mikoani kwa uaminifu...
31 Reactions
1K Replies
126K Views
Leo nimepanda daladala naenda mjini kwenye mishe mishe, seat ya mbele alikaa mdada mmoja hivi alikua busy anachat kama mnavyojua macho hayana pazia nikabahatika kusoma ujumbe mmoja nanukuu" Emma...
8 Reactions
23 Replies
226 Views
Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki: Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke. Kumbe kwanini...
4 Reactions
28 Replies
612 Views
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za...
7 Reactions
48 Replies
907 Views
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
3 Reactions
49 Replies
680 Views
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
7 Reactions
54 Replies
1K Views
Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika. 1. Cameroon 2. Tanzania. DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA Ukiamini dini za ukristo na uislamu...
4 Reactions
23 Replies
417 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,244
Posts
49,194,801
Members
663,951
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom