Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
8 Reactions
29 Replies
632 Views
Ajira ngumu, Kupoteza muda, Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara. Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo) Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na...
17 Reactions
143 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi. Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024. ===== Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
31 Reactions
262 Replies
13K Views
Leo katika siku maalumu ya kuombea Taifa Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe alipewa fursa ya kuomba kwa ajili ya taifa. Maombi yake yamenifanya nibadili mpaka mtazamo wangu...
5 Reactions
30 Replies
934 Views
Makonda anataka yeye ndiye awe chawa mkuu wa Rais Samia, anamlazimisha Rais amsikilize yeye sana kwamba yeye ndiye msema kweli, Mimi kwenye serikali yangu sitahitaji machawa wala watu...
15 Reactions
34 Replies
1K Views
Nikiamini kwamba ulinzi wa taifa unaanza na sisi raia. Na kila raia ana wajibu wa kulilinda taifa. Ninaomba kuiuliza serikali hii milipuko mikubwa inayosikika kila siku nyuma ya milima ya uluguru...
2 Reactions
17 Replies
467 Views
Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua...
15 Reactions
54 Replies
785 Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
16 Reactions
857 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,739
Posts
49,464,263
Members
666,445
Latest member
New life zone
Back
Top Bottom