Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Stephen Aziz Ki na Djigui Diarra bado sijawaona kambini na walipaswa kuwa wamerejea kutoka kwenye majukumu yao ya timu zao za taifa” - Kocha Miguel Gamondi, Yanga Afrika. Yapi maoni yako??
0 Reactions
27 Replies
806 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Habari zenu ndugu zangu, Mimi naomba kuanzia leo na kuendelea tuungane kuwakemea wanawake wanao vaanguo fupi kwani mimi naona kitendo hiki hakina maadili kabisa tena wengine utawaona watu...
5 Reactions
195 Replies
34K Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
6 Reactions
122 Replies
2K Views
LAPTOP ZA BEI NAFUU ZAIDI KWA PICHA ZA LAPTOP NICHEK INBOX NITUMIE JINA LA LAPTOP HP PROBOOK X360 ITEL SSD 128 RAM 4GB BEI 335,000 🔥🔥🔥🔥 DELL 3189 SSD 128 RAM 4GB BEI 350,000🔥🔥🔥🔥 HP 640G1...
0 Reactions
4 Replies
150 Views
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja...
11 Reactions
36 Replies
443 Views
Kumekuwa na hoja maoni na mitazamo tofauti sana kwa baadhi ya watu kuhusu idadi sahihi ya watoto wanaozaliwa zama hizi kulinganisha na zamani. Dada mmoja mtu mzima kazini ana watoto watatu na...
13 Reactions
140 Replies
8K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
8 Reactions
136 Replies
2K Views
Habari! Nimekuwa nikijiuliza sana niwapo jijini Dsm hasa kwenye usafiri wetu wa kujumuika wa 'daladala'. Wanawake, si wakubwa, si mabinti,si walioolewa wanapenda sana kuvaa vinguo vifupiiii...
0 Reactions
15 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,624
Posts
49,207,711
Members
664,058
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom