Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira. Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja. Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
19 Reactions
287 Replies
7K Views
Natafuta mchumba ambae, anaye elewa maisha mvumilivu kwa kila Hali, mwenye hofu ya Mungu, mchapakazi ili tukiwa pamoja tujenge si sio kuvurugana. Umri wake 25-29 Nipo Kilimanjaro Moshi mjini...
5 Reactions
37 Replies
195 Views
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndanibya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo. Sasa...
3 Reactions
14 Replies
60 Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
13 Reactions
110 Replies
4K Views
Habari JF Ili mjue nani mwamba Kati ya Iran na Israel fuatana na mimi twende pamoja. IRAN NA ISRAEL,NANI MWAMBA? Tarehe 13/04/2024,Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) ambayo ni tawi la...
0 Reactions
6 Replies
294 Views
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Luteni Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani. Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa...
14 Reactions
212 Replies
8K Views
Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi, nchini Kenya, Ken Ngondi, alionekana kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kumlazimisha mwanamke wa kiislamu kumpa mkono na kumkumbatia, katika...
0 Reactions
5 Replies
109 Views
Hii kitu ilianzishwa na JPM na ili kuwa ni one of the best attributes kwa JPM. Mimi kwangu ukiniuliza the first genius president kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, in good spirit nitamtaja...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Minister Saitoti and Ass Minister Orwa Ojode Feared Dead in Helicopter Crash Internal Security assistant minister Orwa Ojode NAIROBI, Kenya: Four people have been killed after a police...
7 Reactions
631 Replies
95K Views
1st Portion: Na hii sio utani, sijivunii mama wa mtoto wangu. Sio kwamba nililazimishwa kuwa nae, hapana. Na katika kipindi chote nipo nae kwenye mahusiano nilikua muda mwingi anatawala mawazo...
65 Reactions
461 Replies
59K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,659
Posts
49,425,196
Members
666,019
Latest member
Choppa nle
Back
Top Bottom