Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hapo vip!! Awali ya yote nadeclare yakwamba ni lazima nitalipiza kisasi cha milele dhidi shetani na lazima nitalipa kisasi juu yake. Nije kwenye mada husika yakwamba ninaposema hii vita kati ya...
6 Reactions
58 Replies
798 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Wengi wa vijana wa kijana wa kileo tumekuwa tukifuata mkumbo tena na kushawishiana eti Kataa ndoa bila ya kujua umuhimu wa jambo tunalolipinga. Miongozi mwa faida za ndoa ni pamoja kukupa...
4 Reactions
14 Replies
230 Views
Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu. Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa...
36 Reactions
694 Replies
21K Views
Ikunda Erick 29/10/2019 Ile adha ya mafuriko katika mto Msimbazi jijini Dar es Salaam, inayosababisha Daraja la Jangwani kufunikwa na maji, imepatiwa ufumbuzi. Wakati wowote kuanzia sasa, daraja...
3 Reactions
139 Replies
17K Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
878 Replies
21K Views
Baada ya Uingereza kulazimisha kuhamisha watafuta hifadhi Rwanda ,kwa maoni yangu naona kuna migogoro ya kiusalama itatokea kwa nchi zinazopakana na Rwanda . Ni namna Rwanda inataka kupanua nchi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi naona kikubwa kazi iwe inakulipa na kukuwezesha kumudu maisha yako tu inatosha wajameni au sio
0 Reactions
3 Replies
37 Views
Very very sad....kwa game iliyochezwa kwenye ma Bank...Kwa jinsi mahakama ilivyowekwa mifukoni....kwa mada zinazoendelea kwenye vijiwe vya gahwa...kwa nguvu kubwa inayotaka kumyamazisha...
0 Reactions
4 Replies
16 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika kuendelea kumuunga mkono ,kumsemea na kumtetea Rais Samia kwa kazi nzuri alizofanya ,anazofanya na anazoendelea kuzifanya katika Taifa letu nimekuja na kauli mbiu...
4 Reactions
40 Replies
228 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,920
Posts
49,468,918
Members
666,522
Latest member
Ndasika
Back
Top Bottom