Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA - SUPHIAN JUMA NKUWI.
Aprili 17, 2024 nimezindua kampeni ya kupanda miti mkoa mzima wa Singida NILIPOZALIWA iitwayo "SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANA" ambapo...
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari.
Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa.
Kuna kipi...
Habari nilizozipata ni kuwa aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu sa Serikali CAG Prof Assad amefiwa na mkewe ghafla usiku wa leo
Msiba upo nyumbani kwake Tegeta na maziko ni leo saa 10...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba , Uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya Kitaifa wa Chadema utafanyika mwezi wa 10 , 2024 , hii ni baada ya kumalizika kwa Chaguzi zingine zote za Chama hicho katika...
Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia...
Kwa wale mliowahi kufika na kuishi na mnaoishi South africa, Je sio kosa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi kama ilivyo Tz (30years jail),
Binti mmoja (minenhle) ambaye ni social...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.