Natumaini wazima
Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi
MAHITAJI
Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Hoja zimeenea leo kuhusu Benchika kutotakiwa, mimi pia naunga mkono kabisa kabisa, Benchika hana uwezo wa kuivusha Simba, Benchika amesababisha mwarabu Al Ahly avunje mwiko kwa mkapa, Benchika...
Habari za muda huu wapendwa.....,...
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.....
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako......
Kuna nyakati unapitia...
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing).
Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
Haya maisha bwana.
Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa Kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani.
Cha kushangaza baada ya wiki Moja...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Makalla amesema nafasi zote za kuchaguli katika chaguzi zijazo zipo wazi isipokuwa ya Rais wa JMT.
Akizungumza leo Aprili 20 hapa...
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,
Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.
#Samia hakamatiki
====
Below are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.