Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sikujua kama kulikuwa kuna vikao vya bunge vikiendelea.. Nimeshangaa sana kumbe kuna bunge, tena kubwa kabisa kuelekea bajeti. Inashangaza sana. Hata zile clips kutoka bungeni siku hizi hazipo...
17 Reactions
92 Replies
1K Views
Baada ya kumdhihaki sana Rais wa nchi hatimaye account ya instagram ya mwanadada Mange Kimambi imefutwa rasmi kwenye ukurasa wa instagram. Account hiyo ilikuwa na zaidi ya followers 7.6M
9 Reactions
50 Replies
721 Views
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
19 Reactions
95 Replies
2K Views
Ni Tukio nisilo weza lisaau kamwe kwenye safari ya Maisha yangu ya kuisaka Elimu Na natamani siku moja Dr Alex Malasusa akipata nafasi ya kukutana nami au kama anayo nafasi kupitia hapa Jamii...
0 Reactions
5 Replies
83 Views
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja...
3 Reactions
52 Replies
827 Views
Usiku wa Mei 4, 2024 ACT wazalendo itazindua Nembo Mpya na kupandisha Bendera Mpya Je, Hiyo ni Ishara ya kuingia kwenye Siasa mpya zisizo na Uchawa kwa CCM?
2 Reactions
9 Replies
105 Views
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
1 Reactions
15 Replies
150 Views
Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji...
0 Reactions
4 Replies
80 Views
Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa...
17 Reactions
140 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,919
Posts
49,400,754
Members
665,764
Latest member
ASHELYJUMELY
Back
Top Bottom