Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

karibuni HUDUMA YA KUHAMA, mtaa kwa mtaa na Dar kwenda mkoani. Huduma zetu ni pamoja na; [emoji117]kufunga na kufungua vitu tunapofika unapohamia [emoji117]kupanga vitu mahala pake...
12 Reactions
383 Replies
9K Views
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga hapa Sinza basi kuna vibinti vinasoma Chuo cha Ustawi wa jamii Mwenge, vikitoka chuo tu wanaanza makerere yao mpaka usiku...
17 Reactions
66 Replies
2K Views
Shalom, DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere. Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
10 Reactions
58 Replies
498 Views
Wadau hamjamboni nyote Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli! Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
13 Reactions
54 Replies
750 Views
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
15 Reactions
127 Replies
2K Views
Mwaka 2016 mwanamke mmoja aitwae Margareta Boemers akiwa mjamzito wa miezi 6 alikwenda kliniki kwa ajili kucheck maendeleo ya ujauzito wake. Baada ya vipimo mbalimbali ikiwemo ultrasound...
5 Reactions
8 Replies
241 Views
Kutokana na katuni hii umeelewa nini Mdau?
5 Reactions
19 Replies
924 Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
19 Reactions
260 Replies
5K Views
Serikali Rais mama Samia imetenga Bilioni 300 kuanza Ujenzi wa Daraja la Jangwani Ili kutatua kero ya mda mrefu ya Mafuriko na kukatika Kwa Barabara eneo la Jangwani Daraja Hilo litajengwa...
27 Reactions
204 Replies
11K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,932
Posts
49,435,174
Members
666,118
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom