Ni kawaida shida huwa haipigi hodi naomba msaada hivi naweza kwenda bank ninayopitishia mshahara wngu nikazungumza na branch manager akaniwezesha kupata hiki kiasi 210k kwa makubaliano tu mshahara...
Kwanza napenda kumshukuru mh rais sana. Halafu kwa niaba yangu pia najishukuru.
Huyu demu muda flani nlimwambia naomba show. Akawa na maneno mengi kidogo na kutaka nimbembeleze. Mi sikuwa na muda...
Kamishina wa PPP Mhe David Kafulila anasema "Wakati Rais Samia anaingia madarakani Uchumi wa Tanzania ulikuwa US$ 66BL Leo ni US$ 85BL sawa na ongezeko la US$19 wakati deni la nje ni US$ 5BL tu.
Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu !
Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka...
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi...
Wababe walioitesa dunia wanazidi kuporomoka mmoja baada ya mwengine.Miongoni mwao ni taifa la Uiengereza ambalo kwa ujanja mkubwa katika karne iliyopita walitawala nchi nyingi zaidi duniani...
Ni vizuri kupatunza vema mahali panapoota nywele katika sehemu mbalimbali za miili yetu.
Ni muhimu kupapenda na kupajali kwa kupafanyia usafi mara kwa mara kwa kunyoa lakini sio kila siku, ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.