Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini...
Wapo walioapa kuilinda na kuitetea katiba lakini wanasema muungano uvunjwe. Haya ni madhara ya mtu kuapa dhidi ya kitu asochokielewa.
Mtu anaapa kuilinda katiba je hiyo katiba anaielewa?
Nimara...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi.
TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa...
Hello.
Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.
Au ndo masharti ya mganga wao...
Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani...
Kuna watu kama Kigogo, Mange Kimambi, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa Chadema wamekuwa...
Kuna mambo Mawili muhimu Sana
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo mh Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa Chadema mh Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya DSM juu...
1. Hili la diplomats kutokukaguliwa (screening and security checks) airports ndo chanzo cha biashara pendwa kutokwisha. Yaan mtu si anajiamulia Leo abebe kilogram (kg) ngapi tu? Maana ana uhakika...
MBINU ZA KUKUSAIDIA KUUSHINDA MWILI USIWAKE TAMAA.
Nukuu; kwanza zinaa huwezi kushindana nayo ,bali nikuikimbia.
"KILA MMOJA Wenu Ajue KUUWEZA MWILI WAKE katika UTAKATIFU na HESHIMA; Si katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.