Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani...
0 Reactions
35 Replies
824 Views
Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari...
1 Reactions
1 Replies
42 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba...
4 Reactions
25 Replies
419 Views
Iko wazi kwamba Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe alitangaza pale Mlimani City kwenye mkutano wa Bawacha kwamba huu ni muhula wake wa Mwisho anang'atuka na anapenda mrithi wake atoke Bawacha Sasa mh...
1 Reactions
8 Replies
37 Views
Safari za mabasi za usiku zilikuwepo kitambo,Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani akazifutilia mbali. Alijua akili zetu watanzania,madereva wetu hawana uwezo wa kuendesha usiku,kichwa kimejaa...
7 Reactions
39 Replies
882 Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
10 Reactions
155 Replies
1K Views
Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio...
0 Reactions
4 Replies
16 Views
Wakuu ni aje, Leo naomba kuuliza, kwanini mtu akifariki utaona watu wanaandika RIP au pumzika kwa Amani ndugu fulani au Mr fulani au Mrs fulani. Hivi huwa wanamwambia Nani?! Marehemu au huwa...
6 Reactions
105 Replies
923 Views
Salaam, Shalom!! Hongera kwa kuaminiwa na chama chako kwa nafasi ya Katibu Mkuu. Kuna vurugu na wimbi linaendelea la watu ndani ya chama chako kuanza compaign mapema Kwa GIA ya kuchangishana na...
1 Reactions
22 Replies
789 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Uchaguzi wa viongozi wa ngazi ya Kitaifa wa Chadema utafanyika mwezi wa 10, 2024, hii ni baada ya kumalizika kwa Chaguzi zingine zote za Chama hicho katika...
1 Reactions
16 Replies
145 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,554
Posts
49,421,525
Members
665,990
Latest member
255655181865
Back
Top Bottom