Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu, Kuna ajira fulani nilikuwapo nafanya miaka minne nyuma ambapo niliifanya kama 4 yrs nikaiacha bila utaratibu maalumu maana nilipata Safari ya ghafla nikaona mambo yasiwe mengi sasa...
0 Reactions
2 Replies
62 Views
Unapokuwa kazini au popote ukakutana na mtu wa aina hii. Mpole, mwema na Hapend magonvi kaa mbali naye.
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
2 Reactions
6 Replies
140 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Ni kubwa sana kiumbo, ikiwa kwenye hadhira, Ni Mamba kama wa Mombo, Sema ye hana madhara, Yakichambuliwa mambo, yatakutia hasira, Mamba huyu mamba gani, mbona hawezi kung'ata? Hukaa kimya...
6 Reactions
24 Replies
845 Views
BISSIROU DIOMAYE FAYE-RAIS KIJANA WA SENEGAL: Ni mtu aliyevunja rekodi,kwa kugombea nafasi ya juu sana kwa mara yake ya kwanza, na akashinda kwa kishindo.Pia ni mtu ambaye wakati anagombea urais...
1 Reactions
2 Replies
98 Views
Wadau natafuta mno huo wimbo, nilikuwa nausikiliza sana nikiwa mdogo na enzi hizo Ukimwi ukiwa kwenye peak yake. Huu wimbo sijui uliimbwa na nani na nimejaribu kuusaka sana bila mafanikio. Mwenye...
0 Reactions
4 Replies
58 Views
Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa...
1 Reactions
21 Replies
381 Views
for me jamii forum is for fun and being stupid at times. but I will share you my bet history. for people who don't count there losses I start beting last year and wasted too much money and time...
0 Reactions
2 Replies
46 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views

FORUM STATS

Threads
1,840,449
Posts
49,202,093
Members
664,009
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom