Kadiri watu wanavyozidi kumfumbia macho Mange Kimambi ndivyo anavyozidi kuwadhalilisha na kama akiendelea kufumbiwa macho ipo siku atadhalilisha nchi nzima ya Tanzania na Wananchi wake.
Ifike...
Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali. Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana...
Jamani wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona ndugu yangu Mlundilwa Jr kaandika uzi wake akisema alimwambia dogo atoe elf20 lakini akagoma akasema bora atafute mwanamke aimalizie huko...
Kama huna kitu, huna thamani na huo ndo ukweli. Hasa kwa sisi wanaume thamani yetu inaambatana na mafanikio tuliyo yapata kwa juhudi na maarifa yetu.
Vijana wengi tunapoteza valuable time...
Habari,
Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake.
Je, umeshawahi kukutana na kero...
Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana...
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa
Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
Niaje waungwana
Naona hata hapa ni wayahudi wa wachache wa bonyokwa ndio wamejitutumua ku report kashambulio ka Israel, ambako kimezuiwa mara moja bila kuleta madhara. Kila mtu anakumbuka...
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.