Nilipokuwa shuleni, sikuzote niliketi karibu na dirisha na kutazama jiko la kantini! Siku moja Mwanamke anayepaswa kuandaa chakula siku hiyo kaweka chumvi kisha akatoka na kwenda zake, baada ya...
Serikali imesema inakuja na muongozo wa wanaojitolea kufanya kazi kwenye taasisi mbalimbali utakaoangalia ni kwa namna gani wanaweza kulipwa.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti.
Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Helcopiter iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Pamoja naye walikuwepo watu wengine 8.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu...
Namuona Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi yupo bega kwa bega na Katibu mpya wa Uenezi, Amos Makalla
Nakauliza kwa wadau kwa nini anaambatana na Makalla lakini hakuambatana Makonda kipindi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema haridhishwi na kasi ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka ya Gongo la Mboto na kama hali itaendelea hivyo atamuweka ndani...
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.
Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.
Maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.