Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Serikali imejaza mabango kama haya kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba vita havipo Tehran ila kule Tel Aviv, maana humo wanaishi mkao wa kusubiri hawajui nini kinawajia, maana tatizo la Israel...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Kutokana na katuni hii umeelewa nini Mdau?
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
1 Reactions
20 Replies
126 Views
Niliwahi kuwa na mpenzi mmoja, kwa maelezo yake akawa anasema ana shida ya uzazi hawezi kushika mimba, basi nikawa natoka nae cha ajabu kuna siku anakwambia yuko siku za hatari so tusifanye. Basi...
14 Reactions
68 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
"Never under estimate the mind of a woman" anaweza kukufanyia lolote la ajabu bila we kulitegemea, mgine alikatwa umme wake kule Shinyanga na mkewe kimasihara kwa sababu ya wivu wa kua na mke...
3 Reactions
7 Replies
87 Views
“Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “ Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini...
1 Reactions
8 Replies
9 Views
Wanabodi, Leo nimetembelea kurasa fulani za website ya UN, nikakutana na neno fulani la Kiswahili kwenye moja ya program za UN , neno hii inaonyesha Kiswahili kinazidi ku gain momentum. Neno...
4 Reactions
15 Replies
297 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,733
Posts
49,428,295
Members
666,047
Latest member
Projas
Back
Top Bottom