Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru...
Habari zenu wakuu.....
Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote...
Electrical popcorn machine inauzwa,
Ipo katika hali nzuri sana ilitumika kidogo ikawa imekaa tu ndani
Bei 200,000/= (haipungui)
Location: kunduchi mtongani
Call 0762 854563
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimekuwa katika mapenzi kwa miaka mingi ila ikafika hatua nikaamua kuachana nayo baada ya kujikuta naumia zaidi ya kufurahia. Nikajikita kwenye utafutaji wa pesa tu lakini kutokana na hali ya...
Timu ya Yanga imeweka bango kubwa maeneo ya Fire jijini Dar es Salaam linaloonesha matokeo ya jumla ya kipigo walichotoa kwa mnyama msimu huu.
Kwa mechi zote mbili za msimu huu klabu ya Yanga...
Habari zenu wakuu.
Naomba kwa wajuzi wa Kabila tajwa hapo juu wanijuze utaratibu wa kuoa Kibosho. Vitu kama mahari vinakuwaje ili angalau nipate mwanga kidogo.
Asanteni sana
Mrejesho...
Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'.
Sasa...
Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.