Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
400K Replies
31M Views
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi. Cc: kataa ndoa
4 Reactions
32 Replies
760 Views
Habarini wakuu Mimi ni kijana wa miaka 23 lengo la Uzi huu ni kuomba msaada jinsi ya kuanzisha biashara ya playstation. Nina plani za kuanzisha biashara hii baada ya kumaliza masomo yangu ya...
5 Reactions
13 Replies
267 Views
https://youtu.be/0EnGV2UKZZc?si=IK11VUZ7vcpS0QBT
1 Reactions
1 Replies
58 Views
Leo kidogo nitakuwa mkali Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na...
3 Reactions
7 Replies
81 Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
22 Reactions
2K Replies
14K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
511K Replies
29M Views
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa...
2 Reactions
34 Replies
781 Views
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
8 Reactions
93 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,162
Posts
49,476,453
Members
666,637
Latest member
lsack jonathan jacob
Back
Top Bottom