Habari JF members..
Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe.
Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda...
Nikiwa katika miaka ya balehe niliwasikia wazee wakijisifu kuwa katika zama zao walikuwa wanaoa wanawake wabichi kabisa yaani bikra. Waliendelea kusema kuwa siku hizi vijana wetu wanakula makapi...
Habari ya uzima wanajanvi?
Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa?
Tusichoshane sanaaa
Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji...
Wanabodi,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe...
MPANGO WA RWANDA KUITAWALA BURUNDI ILI KUINGIA KONGO KUPITIA ZIWA TANGANYIKA NA NAFASI YA SERIKALI YA TANZANIA KATIKA MEDALI ZA UJASUSI NA INTELIJENSIA UKANDA WA ZIWA TANGANYIKA
BY LUGETE MUSSA...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Wanajamvi najua itakuwa strange kidogo, kwasababu kila mtu katika maisha yake kuna kitu anaitaji kuki achieve.Na mimi kiukweli natamani kupata european woman wa kuzaa nae achana na io mi shangazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.