Umri wangu sio mdogo, unatosha kabisa kunifanya nami niwe Kamhenga ingawa si Mhenga kamili hivyo kama nyani mzee tu nimekwepa mishale mingi.
Miaka ya 2000+ Nilikuwa Field Lindi, Pitapita ya hapa...
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake
Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki
Msaaada naombeni
Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani!!?haya mabasi ya mwendokasi TU haya yamewashinda serikali!!?yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi TU yaani imeshindwa...
Amani iwe nanyi.
Kwa wenyeji wa DSM na wazoefu wa hizi spa(ofisi za massage) nina swali kwenu.
Mimi ni professional spa therapist (nafanya body massage, pedicure, manicure, facial treatments...
Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi , maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua .
Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi...
Kwenye taasisi zingine zilizo chini ya serkali kuna madudu mengi sana!
Inakuwaje kwenye halmashauri kuwe safi kwa 99% huku kwenye taasisi za serkali kuwe kumeoza!
Au minong'ono ya bahasha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.