Mmoja wa wandani wa familia ya aliyekuwa rais wa tano wa Tanzania hayati Magufuli amepenyeza taarifa kuwa mara baada ya kumaliza msiba walikaa kikao na kuamua kuwa familia hiyo haitamjibu mtu...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao.
Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema...
Katika muendelezo wa kile waziri wa ardhi Jerry Silaa anachokiita kliniki ya ardhi na kutatatua changamoto za ardhi ameendelea kupuuza kabisa documents/nyaraka halali za serikali na mahakama za...
Hivi karibuni nimehamia Mkoa fulani katika harakati za utafutaji, kama unavyojua maisha popote pale maadam unapambania mkate wa kila siku.
Siku kadhaa zilizo pita nikiwa naelekea katika harakati...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo haina mfumo wa "kuzaa,kukuza na kulea" watu wanaotegemewa kuwa viongozi huko mbeleni. Uongozi Tanzania ni zali na ukiacha ngazi za juu,hapa ngazi za katikati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.