Nimefika katika kijiji Cha Chumbi kushuhudia athari za mafuriko katika maeneo hayo na namna wananchi wanavyohudumiwa.
Nimeangalia mazingira ya walipowekwa ni kama Serikali imefabya kuondoa lawama...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Paul makonda lazima alikwea kizimba. Wengi hatujui nini kinahojiwaga na muhojiwa anapaswa kutwii vipi. Ila kwa Paul lazima atakuwa na kujiona ni mteule.
Kiufupi ajitathimini sio kila nyakati...
Hapa naomba ndugu Zangu Malaria 2 FaizaFoxy na The Big Show mnipe Elimu kidogo kwanini Waislam hawavalishwi Nguo na Viatu wanapozikwa
Ni hilo tu maana mazishi ya General Ogolla yamenifunza kitu...
Tabu zetu zimetunyanyasa kwa kiwango kikubwa kupelekea kuwa wahanga wa watu wanaotutumia sisi kama fursa na wale wanaomtukuza shetani wao kupitia huduma wanazotufanyia.
Kwanini wanajiita manabii...
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana.
Sema biashara...
Kwa mujibu wa taarifa iliyonukuliwa na gazeti la the Guardian inaelwza kwamba Benki ya Dunia WB Imezuia kuendelea kutoa ufadhili wa Mradi wa Regrow kufuatia madai ya ukiukwaji wa Haki za binadamu...
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013
Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
Shemsa Mohammed Awasisitiza Wabunge na Madiwani Kutekeleza Ahadi Binafsi.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka Wabunge na Madiwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.