Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Assalamualaikum Wana familia ya jf. Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani. Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia. Sifa zake Awe mwanamke...
16 Reactions
104 Replies
978 Views
Prof. Michael Hudson Mchumi kutoka Marekani anasema kuwa sababu zinazopelekea deni la Afrika kuwa tofauti na la Marekani ni kwasababu deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola) Hivyo...
0 Reactions
1 Replies
15 Views
Nina miaka 25,elimu yangu ni secondary baada ya hapo nlienda chouo cha tourism lakin kwa bahati mbaya siku weza kumaliza chuo. Nilikua na fanya kazi kwa wachina wa bonanza kama dereva mwanza kwa...
3 Reactions
10 Replies
689 Views
Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya...
6 Reactions
14 Replies
186 Views
Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Wanaharakati huko mtandaoni X wanadai Vijana wa Sasa Wengi hawakushuhudia utendaji Kazi uliotuka wa hayati Mkapa ila wamebahatika kumshuhudia hayati Magufuli tu Maria Sarungi & co kwahiyo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kutokana na Takwa la KIKATIBA kuwa Mbunge lazima awe Mwanachama wa Chama cha siasa na Mbunge anapoteza SIFA ya kuwa MBUNGE pindi anapofukuzwa UANACHAMA na chama chake. Halima Mdee na Wenzake...
0 Reactions
4 Replies
40 Views
Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
18 Reactions
73 Replies
5K Views
Habari zenu WanaJF mko poa kabisa, Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo, Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani. Nilianza na upande wa...
36 Reactions
330 Replies
12K Views
Wasalam mabibi na mababu... Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura. Katika Jambo lililonishangaza...
2 Reactions
4 Replies
108 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,486
Posts
49,487,208
Members
666,756
Latest member
Tony brayer
Back
Top Bottom