Jeshi la Polisi limetuhumiwa kutotoa ushirikiano kwa watu wanaofikisha malalamiko ya kupotelewa Ndugu zao ambao inadaiwa wametekwa na Askari wa Jeshi hilo.
Jamii nyingi hii kitu ilikuwa ni laana
Bukoba uliweza kufunkuzwa kabisa nyumbani. jamiii zingine waliwaua kabisa waliozalia nyumbani
siku hizi mmeboresha kabisa na kuwapa jina la kizungu-single...
Kiukweli Oysterbay itabaki Kuwa Oysterbay tu japo wengine wanadai Mbweni ndio mbadala wa Makazi ya Viongozi wa Serikali waliokuwa wanaishi huko
Barabara ni Lami tupu lakini Maji ya mvua...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
In 16 years of power, Angela Merkel did not appoint any of her relatives to a state position.
Germany said goodbye to its leader, physicist and quantum chemist, who was not tempted by fashion or...
Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake.
Katika tume hiyo,polisi isihusishwe...
Wanabodi:
Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake
Muhimu: Uzi huu unawafaa...
Haya nawaombeni sasa wale Wote ambao mnataka kunipa tena PhD's zingine za Heshima acheni Kwanza mpaka niwe na Akili za Kupambana na Majanga makubwa ( hasa Mafuriko ) yatokanayo na Mvua Kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.