Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao. Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii. Maneno...
4 Reactions
17 Replies
144 Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ninge penda mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza Baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia...
15 Reactions
86 Replies
2K Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
17 Reactions
1K Replies
55K Views
Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani...
0 Reactions
5 Replies
92 Views
Na. David Kafulila NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
10 Reactions
28 Replies
646 Views
Nimekuwa nikijiuliza swali kwa muda. Drone za Iran zimefanikiwa kuingia saudia bila kugundulika kwenye rada kila siku zinapita katikati ya aircraft carries za Marekani na kupiga picha muhimu kisha...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
8 Reactions
238 Replies
5K Views
Nimeshindwa kuelewa sababu ya game ya jana ya man City vs Real Madrid kuamuliwa kwa penalty. Game ya kwanza matokeo yalikuwa 3-3 man City akiwa ugenini, na game ya pili ikawa 1 - 1 nyumbani...
0 Reactions
21 Replies
397 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,490
Posts
49,419,610
Members
665,970
Latest member
Joshua Damiano
Back
Top Bottom