...
MAQUIS du ZAIRE ni bendi ambayo iliwatesa Watanzania kwa kuwaporomoshea burudani za muziki wa dansi maridhawa katika kumbi mbalimbali hapa nchini Kwa wale waliokuwa vijana kati ya...
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.
Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
App ya WhatsApp GB ina raha yake.
Ilikuwa na feature nyingi nyingi sana. Na mara kwa mara wanatoa update inavutia sana.
Sasa majuzi nilishuhudia watu wakitakiwa ku download official WhatsApp app...
Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia.
Si upendo wa kiuchafuchafu...
Sikukuu jamani April 20.
Inaitwa 4-20
Ni siku ya kula bhange duniani 🤫😆😆
Basi hata tusipopumzika tuanzishe mjadala wa kitaifa kuhusiana na fursa ya zao la bange nchini. Au mnasemaje masela?
Hakika ya dunia ina vitu vizuri na vyenye kupendeza ambapo pengine watu kwenye malengo watatamani kuvipata ama kuvifikia.
Miongoni mwa hvyo vitu vizuri ni majiji makubwa hapa duniani yenye...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.