Mlioko Mjini tujuzeni hali ya mvua huko niko Ubungo nakuja town
Ni hilo tu
Mbarikiwe!
======
TAARIFA KWA UMMA
YAH: Kufungwa kwa Njia.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka-DART unawaarifu...
A TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
Habari wakuu!
Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Ikiwa Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ni Mnyenyekevu, Mtu mwenye hofu ya Mungu na anaheshimu lila mtu bila kujali Itikadai.
Tuwaombee Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa...
Dunia nzima imegawanyika hivyo. Wapo wanaozipenda ama kuzichukia Israel na Marekani.
Wewe binafsi nini kinakuongoza kwenye kuzichukia ama kuzipenda nchi hizo mbili??
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.