Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa...
1 Reactions
39 Replies
598 Views
Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao...
8 Reactions
79 Replies
1K Views
Kwema Wakuu! Funga ni yako na dini yako. Na Mungu ni wako. Funga yako sio funga ya taifa au ya dunia. Ni yako wewe binafsi na Watu wanaoamini katika kile unachokiamini. Huyo mungu unayemuamini...
2 Reactions
20 Replies
21 Views
Habari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo. Kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza ambapo nilikuwa nasomea kada ya Afya, Kuna Binti nilikuwa naye kozi...
12 Reactions
125 Replies
2K Views
Huyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike. Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
2 Reactions
97 Replies
2K Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
23 Reactions
144 Replies
2K Views
Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
4 Reactions
30 Replies
473 Views
Ukiwa mkoani ukiona zile picha za posta unaweza sema das’ laam ni kama ulaya. Ndugu zangu jiji letu pendwa ndio hilo hapo kwenye picha. Hii picha imepigwa na club ya Al ahly ya nchini Misri na...
1 Reactions
7 Replies
8 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
16 Reactions
111 Replies
1K Views
Nilisha andika na kuandika !! Kweli kama Kuna watu washamba kwenye mabasi basi ni huku nyanda za juu kusini!! Kwa kifupi hawajielewi!!! Nawasihi endeleeni kutukuta mbio za mabasi
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,502
Posts
49,204,140
Members
664,042
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom