Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwamba Rais mpaka sasa haoni kile kinacho endelea Zanzibar ? Au kwa sababu ni watu wa imani yake na ndugu zake Wazanzibari ? Mnataka mturudishe kwenye fujo za mabucha ya ng'ombe wakati wa Jakaya ?
0 Reactions
10 Replies
11 Views
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki? Msaaada naombeni
7 Reactions
136 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
7 Reactions
108 Replies
2K Views
Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi san. Sintawataja. Ila ni kati ya benk mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi...niseme...
0 Reactions
20 Replies
180 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
14 Reactions
402 Replies
7K Views
Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga...
8 Reactions
73 Replies
4K Views
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
11 Reactions
101 Replies
2K Views
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase. Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia...
27 Reactions
240 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,568
Posts
49,205,669
Members
664,060
Latest member
Mwico_jnr
Back
Top Bottom