Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
https://youtu.be/PzXidI7eSAM?si=rjlBLsmrAOEmFIai
0 Reactions
2 Replies
33 Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
4 Reactions
67 Replies
2K Views
Inakuwaje watu wasioshiriki mfungo wafungwe kama sio udini ? matukio haya yanazidi kutuletea hofu ya ile hoja "can islam co exist with non muslims" kwamba sehemu ikijaa waislam basi haki za wasio...
2 Reactions
13 Replies
104 Views
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
16 Reactions
121 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
9 Reactions
48 Replies
639 Views
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo. Timu yangu ilifanikiwa...
18 Reactions
70 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,354
Posts
49,198,575
Members
664,000
Latest member
Acciboy
Back
Top Bottom