Africa watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio
nilikua dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wanasukari .
Nikazama gugo kudadis...
Hello.
Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe.
Au ndo masharti ya mganga wao...
Mbunge wa Konde-ACT Wazalendo ambae anatokea Zanzibar ameitaka Serikali kurejesha utaratibu wa kuwa na Passport Kwa watu wa Bara wanapenda Zanzibar.
Bwana Mbunge amesema Zanzibar ni ndogo hivyo...
Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini?
Umeaccomplish mikakati yako?
Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024...
Kwa taarifa yenu tu akina dada, ni kwamba wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake ambao hawajatumika sana ktk migegedo. Japo ni ngumu kuwatambua lkn wengi wao wamekuwa wakiwapima kwa utundu wao...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki .
Ni sawa ..
Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.