kwa ninayoyaona sidhani kama tunastahili kuumiza wachezaji uwanja akama ule.
Uwanja ni mbovu haufai kabisa unatesa wachezaji na ni risk sana.
Tunaomba ukakaguliwe upya na aliyeupitisha...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi...
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe.
Takwimu alizotoa zinaonesha...
Habari wana-JF
Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano...
Kuna mambo Mawili muhimu sana,
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Mh. Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar...
Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.