Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bifu lilianzia baada ya hii interview aliyofanyiwa Chid Benz ,Chid alishauri Lady Jaydee akaimbe Gospel miaka miwili akae sawa ndipo arudi tena kwenye bongo fleva . Sasa lady Jaydee aliona kama...
18 Reactions
224 Replies
12K Views
Sehemu ya kwanza Katikati ya msitu mnene, giza zito likiwa limetanda kila kona ya msitu huo alionekana kijana akikimbia huku jasho likimtoka ni dhahiri alikuwa amekimbia kwa muda mrefu sana na...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti...
1 Reactions
19 Replies
461 Views
Kenya is deeply concerned by Iran's attack on the State of Israel. This disturbing development only serves to aggravate an already delicate situation in the Middle East. The attack represents a...
1 Reactions
9 Replies
10 Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
7 Reactions
88 Replies
2K Views
Bwana haji manara sawa kuoa ni haki yako ya kidini lakini isiwe geuze kuwa chazo cha mapato kwa kulenga michango utakayopewa na ndg na jamaa haiwezekani wewe ni kuoa kuacha kuoa kuacha unachezea...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la...
2 Reactions
46 Replies
836 Views
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
78 Reactions
13K Replies
3M Views
Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington katika mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana kisha Obama akatoa taarifa kwa walinzi wake wawe tayari...
3 Reactions
9 Replies
97 Views
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
8 Reactions
96 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,961
Posts
49,402,157
Members
665,797
Latest member
shilax jr
Back
Top Bottom