Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi @ Babu G. ambaye...
6 Reactions
110 Replies
4K Views
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji Simu Kali kwa Gharama Nafuu? Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani. MZIGO NI MPYA & GENUINE Pia tunafanya huduma zote ya 🔝...
3 Reactions
28 Replies
328 Views
Mzuka Wanajamvi! Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo amenacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nasikia hali huko ni ya Kutia Huruma kabisa na sijui kama kile Chumba cha Demu wangu Baa Medi Jambo Lee kimepona.
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
Naomba ushauri,nina mpenzi wangu kipindi cha nyuma,kabla hajakubali kuwa wapenzi kuna rafiki yangu alikuwa anamtongoza kwa siri, ila nilifamu kwamba anamtongoza bila yeye kujua. Sasa nikakubaliwa...
3 Reactions
22 Replies
234 Views
Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika...
3 Reactions
26 Replies
335 Views
Kuna mambo Mawili muhimu Sana Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo mh Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa Chadema mh Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya DSM juu...
12 Reactions
84 Replies
2K Views
Nimetumiwa ujmbe kwa njia ya Whatsapp kwa namba zinazo anzia na +62 ambazo hata sijui Ni za nchi gani na kunieleza kuwa yey Ni HR manager na anataka kunipa ajira ya kuweza kuingiza kias Cha...
0 Reactions
30 Replies
238 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,116
Posts
49,474,579
Members
666,596
Latest member
abuutz42
Back
Top Bottom