Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya...
24 Reactions
1K Replies
66K Views
Wengi wetu tulikuwa hivi; kulala na kuchanganywa na binamu zetu, lakini sasa hivi tumekuwa watu wazima, hatuzungumzi tena! Kila mtu sasa ana viwango, matajiri wanakwepa simu kutoka kwa ndugu...
5 Reactions
11 Replies
159 Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
19 Reactions
320 Replies
6K Views
Swali ni kama linavyojieleza hapo juu. Naomba maoni yenu ya Kijamii na kimaadili limekaaje hilo suala yaani kuwanunulia na kuwakabidhi moja kwa moja. Karibuni.
7 Reactions
148 Replies
3K Views
“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali...
6 Reactions
40 Replies
777 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akieleza mkakati wa kupambana na dawa za kulevya Arusha akirejea namna alivyopambana na uhalifu huo wakati akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mkakati huo...
2 Reactions
9 Replies
219 Views
Mahakama ya Wilaya ya Hanang imemhukumu aliyekuwa Mkusanya Mapato kwa kutumia mashine ya POS wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Bw. PETRO MICHAEL MURAY. Mshitakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la...
1 Reactions
12 Replies
525 Views
Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni...
6 Reactions
189 Replies
1K Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
4 Reactions
96 Replies
868 Views
Habari wakuu. Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo. Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu...
0 Reactions
17 Replies
393 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,054
Posts
49,440,365
Members
666,184
Latest member
gearbox
Back
Top Bottom