Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa...
3 Reactions
51 Replies
1K Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
27 Reactions
849 Replies
21K Views
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea
1 Reactions
35 Replies
662 Views
1. Kocha Benchika kutimuliwa rasmi Simba SC 2. Mwekezaji Mo Dewji kuchafua Hali ya Hewa kwa ama Kujiondoa Simba SC au Kuubadili Uongozi wa Bodi. 3. Mwenyekiti wa Bodi Simba Sports Club Limited...
4 Reactions
14 Replies
148 Views
“Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali...
7 Reactions
45 Replies
1K Views
Nimekaa nasoma jf Mara text hizo Kwa wasapu yangu Angalia mwenyew hizi screenshot
2 Reactions
14 Replies
458 Views
Wasalaaam.. Nina imani mko poa na mnatekeleza majukumu yenu kama ilivyo ada. Kabla ya yote, watu tunafanya mambo kulingana na uhitaji wetu, na tunafanya kwa makadirio ya kuridhika na kitu ambacho...
9 Reactions
42 Replies
697 Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
41 Reactions
208 Replies
8K Views
Habari ndugu Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama...
1 Reactions
4 Replies
23 Views
ISIS wamewateketeza wakiwa hai wasichana 19 kutoka Yezidi waliokataa kusilimu na kuwa watumwa wa ngono. Jamii ya watu wasio waislam imejipanga kufanya maandamano kupinga hatua hiyo iliyovuka...
10 Reactions
81 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,064
Posts
49,441,358
Members
666,182
Latest member
gearbox
Back
Top Bottom