Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake. Katika tume hiyo,polisi isihusishwe...
8 Reactions
19 Replies
402 Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
39 Reactions
798 Replies
15K Views
Huyu Ney naye ni team kataa ndoa ? Au ametumia tu kazi ya sanaa kufikisha ujumbe wake ? Sikiliza ngoma lake hili la bachela
0 Reactions
6 Replies
30 Views
Jamii nyingi hii kitu ilikuwa ni laana Bukoba uliweza kufunkuzwa kabisa nyumbani. jamiii zingine waliwaua kabisa waliozalia nyumbani siku hizi mmeboresha kabisa na kuwapa jina la kizungu-single...
5 Reactions
22 Replies
149 Views
Wadau nimeamua kuipitia katiba lili nione kama kuna marekebisho yoyote yamefanyika ya sheria mbalimbali ikiwemo ya wabunge. Nilichokuwa nakitafuta katika katiba hiyo ni suala zima la mbunge...
2 Reactions
6 Replies
74 Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
34 Reactions
161 Replies
5K Views
MBINU ZA KUKUSAIDIA KUUSHINDA MWILI USIWAKE TAMAA. Nukuu; kwanza zinaa huwezi kushindana nayo ,bali nikuikimbia. "KILA MMOJA Wenu Ajue KUUWEZA MWILI WAKE katika UTAKATIFU na HESHIMA; Si katika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mimi nilidhani Mtu fulani kutokana Umaarufu wake na Kujimwambafai Kwake angezikwa na Maelfu ila nimesikitika sana kuona ameandikwa kuwa amezikwa na Mamia tu. Jamani tutumie Umaarufu wetu kwa kuwa...
0 Reactions
22 Replies
136 Views
Duuh! Watu wapo mbali angalia machatu hapa chini Sisi kinyoka kimoja tu mpaka wachungaji na masheikh kukiombea🤡 Bado tupo nyuma sana inabidi tukimbie
36 Reactions
121 Replies
3K Views
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
8 Reactions
68 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,048
Posts
49,473,039
Members
666,572
Latest member
Binta Maso
Back
Top Bottom