Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu. mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake...
14 Reactions
95 Replies
3K Views
Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
5 Reactions
119 Replies
1K Views
Night of scary: USIKU WA KUTISHA hi stoly nimetunga kwa umalidadi na ufasaha kabisa ni uzuni kidogo Ukuapo maijila ya saa 7 usiku mkoa shinyanga kijijin cha tambukareli kulikua na familia moja ya...
0 Reactions
3 Replies
103 Views
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili... Ila cha saa kumi huwa...
13 Reactions
88 Replies
2K Views
Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti...
4 Reactions
13 Replies
351 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
1 Reactions
60 Replies
1K Views
Kwema wakuu Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye 1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat. 2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa Mengine...
17 Reactions
45 Replies
2K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
Kwa faida ya wote hasa vijana wa kileo ni hivi hapo zamani sehemu kubwa za miji mingi haikuwa na lami. Barabara nyingi zilikuwa ni za vumbi. Sasa hawa funza walikuwa ni wadudu wadogo mithiri ya...
4 Reactions
60 Replies
689 Views
Sikukuu jamani April 20. Inaitwa 4-20 Ni siku ya kula bhange duniani 🤫😆😆 Basi hata tusipopumzika tuanzishe mjadala wa kitaifa kuhusiana na fursa ya zao la bange nchini. Au mnasemaje masela?
0 Reactions
5 Replies
67 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,899
Posts
49,434,115
Members
666,121
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom