Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Tungali tunaendelea na nyuzi za mwezi wa 3 ambao ni Mwezi wa Mungu
Kwenye awamu hii utajiri ulikuwa sawa na Uhaini , ukiwa na hela nyingi hata kama zimetokana na Mahindi uliyolima mwenyewe...
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS
Sababu ni hizi
1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no...
Nimefanya mambo fulani ambayo yameniletea aibu na bado najisikia hatia na kukosa kujiamini. How do i move on...
Vitu kama ulevi wa kupindukia, kutukana watu, kupoteza pesa nyingi nk.
Serikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027.
Uwanja huo utagharimu...
Jay z anakwambia "Let's just stay in the moment. Smoke some weed, drink some wine. Reminisce, talk some shit, forever young is in your mind"
Leo mabaharia wale wazee wa kutabaruku pisi mpya mpya...
Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status.
Nikiwa nimeingia sehemu ya...
Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?
==========================
Hili la kusema Mashine zao hazina uwezo wa kusoma...
Serikali inabidi iamke toka usingizini. Serikali za wenzetu, hasa ya Marekani, wana ajenda isiyo wazi kwetu, nchi za Afrika. Afrika inachukuliwa kama bara la kuvuna malighafi na si vinginevyo...
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.