Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'.
Sasa...
Rais wa JMT Dr Samia ametoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua
Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika
Source: Clouds TV
Alhamisi, Aprili 25, 2024
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo...
https://www.youtube.com/watch?v=xjMIFw1DUyg
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza Bungeli, leo Aprili 25, 2024 ametoa taarifa ya kuhusu mwendendo wa Matuko ya...
Habari Wakuu. Naomba niwaulize Wananchi wa Jimbo la Kawe: Mh Gwajima.(Mbunge) alitekeleza ile ahadi yake ya kuwanunulia Boti ya uvuvi vijana wa Jimbo hilo??
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6...
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada.
Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.