habari Wana JF,
Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito [emoji24] pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo, tyiphoid na malaria...
Vinapitaga hapa mida ya saa Moja 30' Hadi saa mbili Kila siku.
Kimoja kina mwanga kina ulingo kuzungukia.
Kingine kinafanana na stelite kina Kingo kama ngazi za helicopter.
Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake
Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki
Msaaada naombeni
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.
Binti anamuomba Simu...
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
Facial expression na kauli za Mama leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG na TAKUKURU ni kama vile Mama hakuwa na raha na GAG zaidi mzani ulielemea kwa TAKUKURU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.