Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere leo amewasilisha Ripoti kuu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Chamwino Dodoma...
Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la NAFAKA DAR lakini Mimi mi mgeni katika biashara, sijui NAFAKA gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika Sana hapa Dar na...
Ni wiki sasa sijalipwa mshahara kwakuwa sijakamilisha fomu ya pepmis.
Ni makosa ya mwajiri wangu lakini ok tuseme ni makosa yangu.
Kwakweli Mungu ni mwema.
Nimekamilisha tayari kujaza ile fomu ...
Just imagine yaani TTCL kutoka Kupata faida Hadi Kuzalisha Hasara yet bodi zipo na CEO yupo harafu Serikali Inatumika Kodi za Maskini kwenda kuwalipa mishahara.
Huu upuuzi ukome,kama hawawezi...
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
Kwa haraka moja kwa moja kwenye hoja,
Kasi ya Waziri wa TAMISEMI Mhe Mohammed Omary Mchengerwa inaleta matumaini mapya kwa Watanzania hasa wanyonge na walalahoi huko vijijini.
Kwasasa Tanzania...
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo.
Inasikitisha sana.
Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu.
Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.