Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa...
Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.
Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.
Nimeota Al...
Kwanini wanawake wa kizungu wanaweza kuvaa vikaptula au nguo fupi sana zinazoacha sehemu kubwa ya maungo yao wazi na wakatembea mitaa kama ya Kariakoo bila shida yoyote au kusumbuliwa na Wanaume...
Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa...
Ili kubadili mwelekeo wa Marekani dhidi ya Israel washawishi wa kiyahudi Marekani wamepeleka kikundi cha wajumbe wa Congress mjini Jerusalem kuzungumza na waziri mkuu wa nchi hiyo,Benjamin...
Hapana shaka kabisa Zanzibar imejibebea sifa nyingi hapa ndani katika jamhuri ya Muungano na nje ya nchi pia.
Na imebeba historia kubwa ya mambo ambayo inawafanya wageni kutoka mataifa mbali...
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
Leo ni siku ya ijumaa, al hamdu liLlah nimesali pamoja na waislamu wenzangu, nasubiri muda wa iftar ufike kisha sala ya ISHAA then TARAWEEH inshaa Allah
Ila nitasikitika sana sana Ndugu zangu...
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.