Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
2 Reactions
5 Replies
24 Views
ITV wameripoti Sehemu ya barabara Darajani Salender imeanza kumomonyoka kufuatia mvua zinazoendelea kuonyesha Nawasihi Sana Tanroads wafanye haraka kurekebisha pale darajani Mlale Unono 😃
8 Reactions
37 Replies
821 Views
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza. Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya...
11 Reactions
62 Replies
1K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Inasikitisha wakati ku a vijana wanahangaika mjini kutafuta ajira bila mafanikio Ni dhahiri kwamba baada ya tangazo la tume ya uchaguzi kutangaza nafasi za kazi kwaajili ya uchaguzi mkuu wengi...
2 Reactions
7 Replies
84 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
44 Reactions
235 Replies
5K Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
4 Reactions
42 Replies
411 Views
Kwa mambo yanayoendelea huko mtandaoni shutuma mbaya na za kutisha Sio nzuri kwa mkuu wa nchi, haipendezi wala sio busara kuona mkuu wa nchi anashutumiwa mambo mazito kama yale huku mkuu mwenyewe...
2 Reactions
11 Replies
12 Views
MHE. NICODEMAS MAGANGA AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI YA SHILINGI TRILIONI 1.8 KWA MWAKA WA FEDHA 2024-2025 BUNGENI JIJINI DODOMA "Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,515
Posts
49,488,454
Members
666,769
Latest member
JBLEMUTZ
Back
Top Bottom