Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii itukumbushe kuwa hii Dunia tunapita, na itusaidie kupunguza kama sio kuacha kabisa kiburi na kujipa umuhimu. Waliowahi kuishi na kuondoka ni wengi zaidi ya waliopo leo, na kila mmoja kwa...
26 Reactions
123 Replies
2K Views
Sijajua ni Kwanini lakini Sidhani kama wanasifia kutoka mioyoni mwao Hii ni kama Petro alivyokuwa anamsifia Yesu kabla Jimbi hajawika Siasa za kuelekea Uchaguzi zinahitaji umakini mkubwa 🐼
9 Reactions
48 Replies
1K Views
Unafikia umri umemtamani mtoto wa kike mrembo 18+ kumwita tu anakusalimia shkamoo babu au shkamoo baba. Ujue bora akusalimie tu shkamoo Hapo ujue bado upo Ila akimalizia tu . Una hali mbaya...
21 Reactions
58 Replies
2K Views
Kama ilivyokawaida sisi tusiotishwa na propaganda mbalimbali huwa tunafanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kupiga kelele. Leo nitaanza kuielezea Iran kuhusu Historia yake, Maendeleo yake na hali...
6 Reactions
78 Replies
1K Views
Nimerudia mara kadhaa kuangalia kwa umakini tukio lilitokea kwa yule binti ambaye ni afisa usalama kwenye convoy ya Mh. Rais akimpoka kikapu shemasi wa zamu pale kanisani. Yawezekana yule binti...
1 Reactions
15 Replies
186 Views
Tunajua wanaume ni viongozi na vichwa katika familia zetu na majukumu ya mwanamke na mwanamke huwa yanafahamika vizuri tu ndani ya nyumba. Sasa ni kwanini siku ambayo mwanamume akipumzika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna msichana mmoja tulisoma wote nursery na primary! Nilikua nime crush kwake ila sikuwahi mwambia niliogopa itakua noma. Skuli za mission na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya...
1 Reactions
11 Replies
78 Views
Mm kunichekesha si rahisi sana ila hawa madogo wanaitwa MABANTU Leo nimeona video yao inaitwa Mali safi nimecheka. Safi vijana tumechoka tu kuona vixen wenye chura kwenye video za bongo.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wanabodi heshima kwenu wakuu! Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia...
5 Reactions
15 Replies
499 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,953
Posts
49,401,853
Members
665,781
Latest member
lucysAloyce
Back
Top Bottom