Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

A
Airtel kuna kitu wanaendelea kuwafanyia Wateja wao kwenye hizi router zao za 5G siyo kizuri. Wanakwambia kuwa internet ni unlimited ila ukitumia kwa siku 20 internet wanaishusha speed, mfano mimi...
0 Reactions
4 Replies
108 Views
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
31 Reactions
149 Replies
3K Views
Wakuu maisha yangu yamejaa mapito magumu sana ambayo kuwa sitarajii kabisa kukutana nayo kwenye maisha yangu. mwaka juzi mwezi wa kumi tarehe 9 nilitoka mbeya na kurudi dar na kesho yake...
11 Reactions
70 Replies
2K Views
Kenya imetajwa kama nchi ambayo pesa yake inaimarika dhidi ya USD kwenye nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.Siku za hivikaribuni shiling ya kenya imenza kuimarika sana baada ya kuyumba sana. Hii...
7 Reactions
44 Replies
785 Views
  • Sticky
Full name: Futbol Club Barcelona Nickname(s): Barça or Blaugrana (Team) Cules or Barcelonistas (Supportes)...
48 Reactions
33K Replies
2M Views
kitu gani kilikutoa machozi, kukubaliwa, kukataliwa, kupewa au kuporwa mpenzi wako? kipi kilikuliza? 🐒
5 Reactions
216 Replies
1K Views
Hello Natafuta mtu anaeweza kunitengenezea Script ya Python au java itakayonisaidia kujaza taarifa kutoka Excel kwenda Mtandaoni.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wakuu. Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo. Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu...
0 Reactions
11 Replies
172 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko. Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini. Mfano ni huu hapa👇 1. CPA. William E. Mtinya...
6 Reactions
88 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,067
Posts
49,406,242
Members
665,829
Latest member
Ezirom
Back
Top Bottom