Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hili suala la viongozi kujipendekeza kwa Raisi Samia sasa limeanza kupita kiasi, na lisipodhibitiwa litaleta mtafaruku nchini. Mfano ni hili suala la Raisi Samia kutukanwa. Siamini kabisa kwamba...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
920 Reactions
1M Replies
39M Views
Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada...
2 Reactions
11 Replies
103 Views
Anasema kipindi kilichopita kilikuwa na kikundi kinaitwa task force. TRA walikuwa wanafunga account za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kukusanya kodi kwa kutumia Task force hivyo kufilisi...
11 Reactions
90 Replies
2K Views
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa...
10 Reactions
140 Replies
3K Views
Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC (VTPLC), imekamilisha ununuzi wa Smile Communication Tanzania Limited, kampuni ndogo ya simu inayoshindana, bila deni au fedha taslimu, kwa TZS 68.8 bilioni ($27.4...
3 Reactions
5 Replies
27 Views
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI:SINGANOJR . AGE:18+ NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346 PROLOGUE../DIBAJI...
31 Reactions
4K Replies
2M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
https://www.youtube.com/watch?v=ezJ5n2FzdlY ZUNGU: MGAMBO WANAWANYANYASA MACHINGA NCHI NZIMA Naibu Spika Mussa Azzan Zungu amesem Asilimia kubwa ya Mgambo wamekuwa wakinyanyasa Wafanyabiashara...
1 Reactions
6 Replies
261 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Israel Katz kupitia Mtandao wa X amesema "Asubuhi hii nilituma barua kwa nchi 32 na kuzungumza na Mawaziri wengi wa Mambo ya Nje na Viongozi Waandamizi Duniani...
0 Reactions
18 Replies
543 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,991
Posts
49,403,273
Members
665,813
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom