Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni. BEI ZA LOGO 80K= Logo+B Card+Letter head...
12 Reactions
295 Replies
8K Views
Salaam, Shalom!! Maelfu ya watu wanaendelea kuhamishwa baada ya maji kufurika Kwa usiku mmoja tu na kufunika maelfu ya nyumba na miundombinu katika majiji ya Orenburg, Syberia na Euros nchini...
3 Reactions
18 Replies
296 Views
Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Pesa inayokutajirisha ni ile inayogeuka kama chambo ya kunasa pesa zaidi. Kuna mambo unayotakiwa kuyadhibiti kabla hujakurupukia ndoto za utajiri. Mambo ambayo yatakusababisha kila kinachoingia...
27 Reactions
63 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
920 Reactions
1M Replies
39M Views
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ilipata hasara ya Sh56.64 bilioni katika mwaka wa fedha 2022/23 ikiwa ni ongezeko la asilimia 61, ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita. Ripoti ya mwaka ya...
1 Reactions
15 Replies
507 Views
Yatoa hakikisho kwa mataifa ya Kiarabu yawe na amani kwamba chochote inachokusudia kufanya haitawadhuru..... Dunia sasa hivi inatumia nguvu nyingi kuibembeleza Israel maana tatizo la Israel huwa...
2 Reactions
21 Replies
181 Views
Kuna huyu waziri namsikia sana sasa hivi, Jerry Slaa, je huyu ni mtoto wa Dkt Slaa? Yule aliyekuwa Chadema? Maana wanasema mtoto wa simba ni simba.... naomba kuwasiliana
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Natumai wote wazima kabisa Leo nimekaa nikawaza nikawazua bila majibu kamili, ila natabiri haya juu ya Makonda 2025 huenda akawa mgombea mwenza wa Samia, au atagombea ubunge Jimbo lolote kati ya...
4 Reactions
13 Replies
154 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,899
Posts
49,400,319
Members
665,766
Latest member
ASHELYJUMELY
Back
Top Bottom