Ni muhimu vijana kuwa Wazalendo, Tanzania ni yetu wala sio ya Wakenya, Tanzania itajengwa na Watanzania tu.
Vijana ni muhimu kusimama na Serikali yenu, Hakuna kiongozi yeyote ambaye anafanya...
Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya...
Kutoka angani naliona Bwawa kubwa, liliojengwa kutoka kwenye urithi wetu wa mto Rufiji, katikati ya Hifadhi yenye jina lake Nyerere mtu wa kipekee. Naliona Bwawa lile na kukumbuka kwamba wakati...
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira.
Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja.
Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
Kwa faida ya wote hasa vijana wa kileo ni hivi hapo zamani sehemu kubwa za miji mingi haikuwa na lami.
Barabara nyingi zilikuwa ni za vumbi. Sasa hawa funza walikuwa ni wadudu wadogo mithiri ya...
Ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Dada wa watu kachagua kilicho Bora kwake.
Mengi yalisemwa kipindi cha msiba wa Fanuel, lakini Sasa ukweli umerhibitika.
Karibuni katika sehemu ya pili ya uchambuzi wa kina wa kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake dhidi ya Jamhuri. Kesi iliyo na historia ya kuvutia na kusisimua sana, kesi iliyoficha mengi yasiyojulikana...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Waziri Mkuu majaliwa ameipongeza TANESCO kwa kuzalisja umeme zaidi ya mahitaji yaliyopo sasa, "Leo tarehe 19 April 2024 uzalishaji wa umeme ni mkubwa, shirika letu la TANESCO limemudu kuzalisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.