LHRC wakishirikiana na Zanzibar Fighting Against Youth Challenges Organization (ZAFAYCO) wanazindua ripoti ya Haki za binadamu 2023.
Ripoti inatazamia kuonesha hali ya Haki za Binadamu Zanzibar...
kabla yay kuamua kufunga ndoa mliishi uchumba kwa kipindi cha muda gani?
maana naona saivi watu wanaishi uchumba na wanazaa na watoto kadhaa kabisa, lakini hawana habari ya kutambulishana makwao...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na...
Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa...
Kwenye hii thread tutakuwa tuna share Mbinu za wizi za mafundi ujenzi ili kusaidia wale wanaotaka kujenga "wasipigwe ".
Wengi tumepigwa sana hadi kuzijua hizi mbinu.
Karibuni.
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia...
Sisi hatushiriki Muungano Cup kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu,lakini tutakwenda Zanzibar kufatilia hali ya my wetu - @alikamwe
Ambapo tutajua amekula Nini ....amefikia wapi .....ameimprove...
Huyu mbunge ameongea jambo la maana sana juu ya mstakabali wa nchi yake ya Zanzibar ila alicho ambulia mitandao ni matusi, kebehi na dharau juu yake na kwa Wazanzibari kutoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.